Dalili 6 Zitakazokuonesha Kuwa Hali Yako Ya Kifedha Iko Kwenye Hatari.
____Dalili Ya Kwanza: Unakopa Mara Kwa Mara Kwa Mahitaji Ya Msingi.
Ni kawaida kabisa kwa mwanadamu kupata changamoto za kifedha...
...ila ukiona changamoto zako zinajirudia rudia kila wakati, ujue kuna tatizo.
Ukiona kila wakati unakopa kwa ajili ya mahitaji ya msingi kama vile:
Una madeni mengi ya chakula dukani...
Unadaiwa sana mavazi (nguo, viatu n.k)...
Kila ikifika wakati wa kulipa kodi lazima ukope...
...kila wakati wa kupeleka shule lazima ukope ada ya watoto n.k
Hapa sizungumzii jambo ambalo huwa linatokea mara moja moja tu...
...bali lile ambalo huwa linatokea mara kwa mara.
@joelnanauka
BAUNSA WA KWANZA DUNIANI KUAJIRI BAUNSA WAKE PIA~KELVIN POWER 👇 Baunsa wa msanii KIZZ DANIEL kutoka nchini Nigeria Kelvin Atobiloye Almaarufu kama KELVIN POWER ameingia katika vitabu vya kumbukumbu baada yakuwa baunsa wa kwanza duniani kuajiri baunsa mwenzake kama mlinzi kwake kutokana na umaarufu wake alioupata gafla baada ya kupostiwa na Kizz Daniel katika mitandao yake alipofanya `Challenge' ya wimbo mpya wa Kizz (My G).Hata hivyo inasemekana pia Kizz Daniel alimuongezea mshahara baunsa wake takribani millioni 2 (N 2million) akisema kwamba ameufanya wimbo wake kuwa maarufu mno!
Maoni
Chapisha Maoni