Ruka hadi kwenye maudhui makuu

NJIA 6 UNAZOWEZA KUTUMIA KUTENGENEZA PASSIVE INCOME

Njia 6 Unazoweza Kutumia Kutengeneza "Passive Income" ___Passive Income ni aina ya kipato ambacho unakipata bila kulazimika kuendelea kufanya kazi. Kulingana na kipato unachokipata sasa na maarifa yako juu ya mambo mbalimbali... ...unaweza kuamua kutumia njia zifuatazo kuzalisha “Passive Income” Yako. 1. Gawio La Faida (Dividend Income) Aina hii ya kipato inatokana na kuwekeza kwenye hisa za makampuni mbalimbali. Katika aina hii ya uwekezaji, ni kuwa unanunua umiliki wa kampuni fulani. Kwa hapa Tanzania, kuna makampuni kadhaa yameorodheshwa kwenye soko la hisa la Dar es salaam (DSE), unaweza kununua hisa zake. Mfano: Benki ya CRDB. Baada ya kununua, kila mwisho wa mwaka kampuni inaweza kuamua kugawia wanahisa wake sehemu ya faida iliyopata... ...baada ya kuamuliwa na bodi ya wakurugenzi ya kampuni husika.
Ile pesa ambayo unagawiwa, baada ya kampuni kutengeneza faida ndio huitwa “Dividend Income”

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

BAUNSA WA KWANZA DUNIANI KUAJIRI BAUNSA WAKE PIA~KELVIN POWER

BAUNSA WA KWANZA DUNIANI KUAJIRI BAUNSA WAKE PIA~KELVIN POWER 👇 Baunsa wa msanii KIZZ DANIEL kutoka nchini Nigeria Kelvin Atobiloye Almaarufu kama KELVIN POWER ameingia katika vitabu vya kumbukumbu baada yakuwa baunsa wa kwanza duniani kuajiri baunsa mwenzake kama mlinzi kwake kutokana na umaarufu wake alioupata gafla baada ya kupostiwa na Kizz Daniel katika mitandao yake alipofanya `Challenge' ya wimbo mpya wa Kizz (My G).Hata hivyo inasemekana pia Kizz Daniel alimuongezea mshahara baunsa wake takribani millioni 2 (N 2million) akisema kwamba ameufanya wimbo wake kuwa maarufu mno!

JAY Z AMEREJEA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII TENA BAADA YA KUFUTA ACCOUNT YAKE YA INSTAGRAM

Jay-Z amerejea kwenye mitandao ya kijamii na kumfanya #Beyonce amfuate ikiwa ni mtu wa kwanza kufanyiwa hivyo, lakini ameendelea na mtindo wake wa kurudi tu wakati ana bidhaa ya kusukuma mitandaoni... wakati huu ni filamu yake mpya. Mwanamuziki huyo maarufu wa muziki wa kufoka ameanzisha upya akaunti yake ya Instagram mapema asubuhi leo na kufichua trela rasmi ujio wa filamu yake ya "Book of Clarence"... akishirikiana na mastaa kama #LaKeithStanfield, #BenedictCumberbatch, #TeyanaTaylor na wengine wengi. Jay-Z aliweka 'post' yake ya kwanza mnamo Novemba 2021 kwenye mtandao huo, akitangaza filamu "The Harder They Fall" ... kisha akapotea kabla ya kurudi leo, ambapo inaelezwa huenda asifute tena akaunti yake. Kionjo cha filamu hiyo kinatoa kiashiria cha ngoma mpya kutoka kwa 'Legend' huyo wa Rap na Hip Hop chini ya mwongozaji #JeymesSamuel ... ambao unaweza kutoka huku ukifuatwa na nyimbo kadhaa kama vile ilivyokuwa kwa wimbo wa '#THTF', au

HIVI WEWE UNATAKA KUWA MMOJA WAO??

Hivi na wewe unataka kuwa mmoja wao? Mwanasayansi maarufu, Randy Pausch aliwahi kusema... “Sio yale ambayo TUNAYAFANYA ndio yatatuletea MAJUTO mengi hapo baadaye, bali yale AMBAYO HATUJAYAFANYA ndio TUTAJUTIA ZAIDI”. Watu wengi sana huwa wanaacha kufanya kwa sababu ya kuhofia kupata MATOKEO MABAYA. Yaani, mtu kabla hajaanza kufanya anawaza namna ATAKAVYOFELI... ...kabla hajajaribu anawaza ATAKAVYOKATALIWA n.k Matokeo yake, badala ya kuchukua HATUA, kila siku anabakia KUPANGA na KUSIMULIA anachotaka kukifanya. Usiwe mmoja wa wale ambao WAKISHAZEEKA watakuwa wanajutia na kusema... ...“Yaani, afadhali ningekuwa na UJASIRI wa kufanya wakati ule”. Leo kuna mambo mengi ambayo ingawa UNASINGIZIA kuwa hauna MUDA na FEDHA... ...ukichunguza vizuri Ndani ya MOYO wako ni kwa sababu UNAOGOPA TU. Naomba nikukumbushe kuwa MIAKA inakwenda. Kuna mambo USIPOCHUKUA HATUA na kuanza kuyafanya LEO... ...utatamani kuyafanya HUKO MBELENI na HAITAWEZEKANA, anza Leo.